Na Bryceson Mathias, Kikombo
ASKARI
Polisi wa Kata ya Kikombo aliyejulikana kwa jina Moja la Sivanus
(pichani), Jana alizua Tafrani kwenye Mkutano wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), baada ya Kumnyanganya Kipaza Sauti (Mike) Katibu
wa Wilaya wa Dodoma Mjini, Jella Mambo.
Silvanus
alizua hayo Julai 26, ambapo alinusurika Kipigo cha Wananchi waliokuwa
na hasira kwa kufanya tukio hilo, ambapo walidai hata kungekuwa na
makosa ya Matamko au kitu kingine chaochote, hakustahili kuingia jukwani
na kumnyang’anya Kipaza sauti Katibu huyo.
Askari
Silvanus aliyeonekana kulewa na kuwaacha wenzie kwenye gari, alichukuwa
hatua hiyo, Mambo alipomtambulisha aliyekuwa Mgombea wa Chadema Kata
hiyo, Yona Kusaja, kwamba, uchaguzi uliopita Kusaja hakushindwa ila
Chama Tawala (CCM) kilichakachua kura zake na kutoa vitisho kwa wapiga
kura.
“Upinzani
Dodoma uliasisiwa na Kusaja aliposhinda kuwa Diwani na alitoa
Changamoto kwenye Vikao vya Halmashauri nikiwa CCM, na walipotaka
kunipiga chini kwa hila nisiwatetee wananchi wa Makulu, Kusaja
aliniongoza kuchukua Fomu za Chadema, nikashinda”.alisema Ally Biringi.
Katibu
wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) la Wilaya ya Dodoma Mjini, Margreth
Thedai alisema, Kama si Busara ya Diwani wa Dodoma Makulu, Biringi,
kumsihi arudishe kipaza sauti hicho, Wananchi wasingemvumilia wangempa
Kichapo kitakatifu, maana ndiye alianza vurugu.
Mbali
ya Wananchi kuahidi kumrudisha Kusaja kutokana nakile walichowaunga
mkono viongozi wa Chadema kuwa wamepigika alisema, “Kwa miaka Miwili CCM
katika Kata imeshindwa kuezeka Madarasa ya Shule ya Msingi
yaliyoezuliwa, kutokana na fedha kulambwa na Viongozi”.
Aidha
licha ya kumshangilia Kusaja, Wananchi walidai Mkutanoni kwamba,
Hawamtaki Mtendaji wa Kijiji, Mwenyekiti na Halmashauri kutokkana na
kushindwa kusoma mapato na matumizi ya kila mwaka, wakihofia kua za
Minara, ambazo zimelambwa kisirisiri.
Kwa
upande wao wananchi walidai, Polisi Silvanus alitumika kama Chambo ili
awachokoze wampige, iwe sababu ya kupiga mobomu kuvuruga Mkutano wa
Chadema, kwa sababu awali CCM walitakaa kufanya Mkutano wakakosa watu na
kuahirisha
0 comments:
Post a Comment