pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

AJALI: BASI L BUNDA EXPRESS LAGONGANA NA TRENI

Ajali imetokea ikilihusisha Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi hii limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.
Kwa mujibu wa chanzo changu cha habari cha kuaminika ambacho kipo Eneo la tukio Bado hawajajua idadi ya majeruhi na waliokufa lakini inaonekana ajali ni mbaya na ameshuhudia tayari maiti moja.
Majeruhi Tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni



 

0 comments:

Post a Comment