pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Ajali Michezani Kisonge

WANANCHI wakiangalia gari yenye usajili Z 564 DE, ikiwa imegongwa kwa nyuma na daladala ya njia ya Maungani yenye namba za usajili Z663 CH, ajali hiyo imetokea jirani na maskani ya kisonge, katika ajali hiyo hakuna Mwananchi aliyejeruhiwa katika ajali hiyo.
Dereva wa Texi na wa Daladala wakiwa katika mashauriano ya kulipwa mwenye texi ikizingatiwa daladala ndio mkosa katika ajali hiyo kwa kugonga kwa nyumba ikiwa gari iko mbele yake akiiona, huu ni uzembe wa maderevya. kushughulikia mambo mengine akiwa katika usukani.
zanzinews

0 comments:

Post a Comment