pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

RIDHIWANI ASHINDA KURA ZA MAONI CCM KUWANIA KITI CHA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE

Matokeo:
Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,

Ilikuwa hivi:_

1.Ridhiwani Kikwete kura 758

2.Shaban Iman Madega kura 335

3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206

4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12

Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316
Wagombea wa Ubunge Chalinze kwa tiketi ya ccm walikuwa ni:-
1.Ndg.Ridhiwani Kikwete,
2.Shaban Iman Madega,
3.Athuman Ramadhan Maneno
4.Changwa Mohamed mkwazu
Tarehe 9/3/2014 KUCHUKUA FOMU
Tarehe 11/3/2014 KURUDISHATarehe 15/3/2014UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CC
Kwa hisani ya http://www.jamiiforums.com
 Wanachama wa CCM wakiwa katika viwanja vya kupigia Kura yaMaoni kumchagua Mgombea kupitia Chama cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze baada ya Mbunge wake Kufariki dunia na nafasi hiyo kuwa wazi 




                             Wakiwa katika mstari kusubiri nafasi zao ili kupiga kura ya Maoni.




 Wanachama wa CCM wakiwa katika foleni ya kupiga kura ya Maoni kumchagua Mgombea wa Ubunge kupitia CCM,ili kujaza nafasi iliokuwa wazi baada ya mbunge wake kufariki dunia.
 Ndg.Ridhiwani Kikwete Mgombea wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akijipigia Kura muda huu , pia akipanga mstari katika uwakilishi wa Kata anayotoka ya Msoga..Zoezi la upigaji kura linaendelea hapa Msata (Chalinze).
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi akipiga kura yaku kutumia Demokrasia yake kumchagua Mtu amtyakaye.(Picha kwa hisani ya Jamii Forams.com

0 comments:

Post a Comment