pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Amkamata jamaa akimlawiti mpwa wake mwenye umri wa miaka 15 katika kitanda chake

mfano wa kitanda
mtu mmoja nchini Nigeria anatuhumiwa kwa kulawiti baada ya kukutwa an kijana wa umri miaka 15 kitandani
Polisi walisema kuwa mshitakiwa mwenye umri wa 65 Uchenna Ignatius baada ya kumlawiti kwa mda mrefu kijana aliamua kupiga kelel


mshtakiwa, ambaye ni dereva wa kibiashara, zimeripotiwa hbari kuwa alikuwa akijamiiana na mtoto huyo tangu mwaka 2012.  pia kutishia kumuua ikiwa aliimwabia mtu yeyote kuhusu mambo yao

unyanyasaji huo ulianza wakati mvulana huyo akirudi nyumbani kutoka shule. mshitakiwa alikuwa anenda naye nyumbani kwake katika gari la shule. mshtakiwa pia alikuwa akimdanganya mtoto yule kwamba yeye alikuwa ndugu wa mama yake

Wakati kijana huyo alipo kuwa akiwasili katika nyumba ya jamaa huyo, mtuhumiwa haraka alifunga mlango na kumuamuru kijana avue nguo. alipokuwa akikataa kuvua mtuhumiwa alikuwa akitoa kisu na kutishia kumuua.aliendelea na tabia yake ya kumbaka mtoto huyo mara kwa mara na hatimaye alikamatwa
baada ya taarifa kufika polisi, alikamatwa mara moja. jamaa alikuwa  rumande chini ya ulinzi mpaka mwisho wa kesi yake ya uhalifu wake.

0 comments:

Post a Comment