pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Sikuwahi kupiga picha za uchi - Jokate

jokateJokate Mwegelo amekanusha vikali kuhusiana na picha za utupu zilizozagaa mitandaoni hivi karibuni kuwa si zake.
 
Akizungumzia ishu hiyo, Jokate ambaye pia ni mwigizaji alisema kuna mitandao imeanzisha uvumi huo kwa kuweka picha ya mtu  mwingine na kudai ni yeye.
 
“Mitandao ya kijamii inakera sana. Kila mtu anaandika habari itakayowafanya watu wafungue ‘blogi’ yake, siwezi kupiga picha ya utupu,” alisema Jokate.

0 comments:

Post a Comment