kutokana na maelezo ya polisi imefahamika kwamba eneo hilo lilifahamika kama baa hapo mwanzo kumbe ndo sehemu ambayo uchafu wa aina hiyo ulipokuwa ukifanyika na watu walijaa eneo hilo kufanay biashara
walinzi walikuwa wakiwekwa eneo hilo kupokeea viingilio kwa wale wanao taka kuona matendo ya kingono kutoka kwa wanawake hao, pia watoto wa kike walienda eneo hilo kuvuta sigara na kulewa pombe lengo likiwa kufanya matendo ya ngono imekuwa tabu katika nchi ya nigeria pale vijana wote wanapojihusisha na matendo ya kingono, uvutaji na ulevi kupinfukia, mashoga na wasagaji wamekua wakifanya matendo yao hadharani bila kujificha

0 comments:
Post a Comment