Home
education
computer
life facts
love story
Games
Software
Office
love story
magazeti
Sub Child Category 1
Sub Child Category 2
Sub Child Category 3
Child Category 2
Child Category 3
Child Category 4
politics
Michezo
Tragedy
photo gallery
transport
pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com
Rais Kikwete ziarani nchini Marekani
23:29
politics
No comments
Rais Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa vyombo vya ulinzi na…
Rais Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Rais Kikwete akisindikizwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali wakati alipokuwa anaondoka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuelekea Marekani Septemba 15, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili New York, Marekani. Kulia Mwakilishi
wa kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa
Balozi
Tuvako
Manongi
akifuatiwa na Mama Upendo Manongi Septemba 16, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakilakiwa na maofisa mbalimbali wa Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa baada ya kuwasili New York, Marekani, Septemba 16, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakilakiwa na maofisa mbalimbali wa Tanzania baada ya kuwasili New York, Marekani, Septemba 16, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa Septemba 15, 2014, kuanza ziara ya wiki mbili katika Marekani ambapo atahutubia Mkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN General Assembly) New York.
Mbali na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Rais Kikwete pia atahudhuria mikutano muhimu katika mji mkuu wa Marekani, Washington, D.C.
PICHA NA IKULU
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
Tags
Blog Archives
Kwa wale waliopotelewa na VYETI Maelezo ya kupata kingine haya hapa
Hizi ndo aina 10 za paka hatari duniani walioishi miaka 1000 iliyopita
Mishahara mipya serikalini 2013
Jeshi lawaokoa wasichana 300 Nigeria
Follow us on twiter
Tweets by @slack_tz
Find us on facebook
0 comments:
Post a Comment