pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

MAAJABU: Picha 20 za Watu walioungana sehemu za miili yao

Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, huu ni msemo wenye maana kubwa katika dunia ya leo.
katika hali ya ushangaza leo hii Duniani unamuona mwanadamu wa kawaida akilalamika kuumbwa kwake na akitamani baadhi ya vitu kutoka kwa mwanadamu mwenzie "Laiti ningelikuwa kama flani"
hii ni hatari ambayo wanaosema hayo hawjui mungu kaubaje upande mwingine 
Mpenzi msomaji katika mwendelezo wa kufahamishana mengi ulimwenguni hapa leo nakuletea mapacha walioungana kwa kuzaliwa, watu wa aina hii wamekuwa wengi duniani, hata hapa kwetu Tanzania wakiwepo watoto hawa wanaorushwa na Tv ya Taifa TBC1
Ukiangalia picha hizi mshukuru Mungu alivyokuumba!!!!

 

 kama una habari mpenzi msomaji iwe sherehe, tukio au tangazo itume kupitia +255658418149 or Email: hilyaone@gmail.com

0 comments:

Post a Comment