
VIONGOZI watatu wa
kanisa la Baptist nchini Guinea wamepigwa na kisha kutekwa nyara baada
ya wenyeji kudhani kwamba walikuwa maafisa wanaohamasisha jamii dhidi
ya ugonjwa wa Ebola .
Viongozi hao walikuwa wametembelea kijiji cha kabac eneo la
forecariah wakilenga kufukiza dawa ya wadudu kwenye kuta za vyoo vya
umma ikiwa ni sehemu pia ya kujipatia huduma ya maji .
Taarifa zimesema kuwa wanakijiji hao walipowaona waliwashuku kuwa wanataka kueneza ugonjwa wa ebola katika eneo hilo .
0 comments:
Post a Comment