pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Wanandoa mbaroni kwa kushiriki mapenzi na mbwa wao kisha kuitupia video ya tukio internet

Jason Johnson na Nikki Colleen Murphy-Johnson 
wanandoa wametiwa mbaroni na jeshi la polisi baada ya kugundulika kufanya mapenzi na mbwa wao kinyume na taratibu za maadili huko nchini India
wanandoa hao wa jiji la Indiana, walitiwa mbaroni baaada ya mwanamke kuonekana kwenye video akifanya vitendo vya kingono na mbwa wao


Jason Johnson, mwenye umri wa miaka 37, na mkewe Nikki Colleen Murphy-Johnson, mwenye umri wa miaka 33, wametiwa mbaroni kwa kosa la ufuska.
polisi katika sehemu ya Anderson wamewatia mbaroni wawili hao ambao wameoana kwa takribani miaka kadhaakwa kurekodi video chafu wakifanya mapenzi na mbwa sambamba na kupiga picha chafu za tukio hilo na mbwa wao aliyefahamika kama Lucky.

Mafuska hao wamefanya kitendo hiko kichafu nyumbani kwao katika mitaa ya
Fletcher
 
Picha hizo chafu na video hiyo ya ngono zilionekana internet n akugunduliwa na pilisi wa aeneo hilo katika jiji la Virginia na ndipo walifuatilia na kuamua kutuma taarifa nchini kwao katika kurugenzi ya polisi kisha kukamatwa   

Katika mahojiano na polisi wawili hao walikiri kufanya kosa hilo, na kugundulika wana idadi ya watoto wanne

Kama kesi ikiamuliwa kisheria 
Johnsons atakumbana na adhabu mbili, mwaka mmoja na nusu jela na faini ya kiasi cha shilingi 19,850,000/=

0 comments:

Post a Comment