pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

TETESI ZA USAJILI MAJUU

MAN UTD WAITAKA SAINI YA  KANE

Manchester United wamefanya mazungumzo ya moja kwa moja na Tottenham ya dau la  £40 million kwa ajili ya uamisho wa  Harry Kane. Louis van Gaal anataka kuimarisha safu yake ya ushambuliaji, ambapo Robin van Persie anatazamiwa kuondoka, na mashetani wekundu wana matumaini ya kumpata Harry mwenye miaka 21
Source: The Sun

PSG WAMTAKA TREMUOLINAS

Kwa mujibu wa le Parisien, Laurent Blanc na Paris Saint-Germainwamekutana na  Jean-Christophe Cano, wakala wa mchezaji Benoît Trémoulina's . PSG wanataka kuziba pengo la  Lucas Digne.
Source: L'Equipe Sunday, July 5, 2015 10:47
 

POGBA KUTUA BARCELONA

Paul Pogba anakaribia kutoa maamuzi yake ya mwisho ya kujiunga na miamba ya hispania Barcelona. pogba amekuwa kwenye rada za vilabu kadhaa ulaya ikiwemo MAN U
Source: L'Equipe

LLORIS ANAITAKA MAN U

Hugo Lloris anasubir hatma ya De Gea. kama De Gea wa  Manchester United atahamia Real Madrid, Lloris atajiunga na Mashetani wekeundu.
Source: L'Equipe

AUSTIN - NASUBIRI OFA YA CHELSEA

Charlie Austin anawasikiliza Chelsea kuaua kabla hajafikiria hatma yake. Mshambuliaji huyo wa QPR amevutiwa na ofa ya pesa Stamford Bridge, na hataki kujiunga na  Leicester City.
Source: The People

0 comments:

Post a Comment