pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Jezi na Namba Mpya Za Manchester United Msimu wa 2016/2017

Katika kampeni ya kuwania Taji la ligi kuu nchini uingereza, timu zinaingia mawindoni katika pre- season huku Manchester United ikiwa nchini  China
Timu hiyo leo imetambulisha rasmi jezi zake mpya zitakazotumika uwanja wa Nyumbani
Kwingineko timu hiyo imefanya mabadiliko ya namba katika jezi mpya hizo huku Zlatan Ibrahimovic akipewa jukum la jezi namba 9 huku Antony Martial  akipewa jezi namba 11

0 comments:

Post a Comment