polisi nchini humo wamezuia eneo lilikotokea ajali kwa usalama zaidi
chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika
Majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika hospitali mbalimbali nchini Kenya ikiwemo Kenyatta National Hospital, Guru Nanak hospital na Mother and Child Hospital huko Eastleigh.
0 comments:
Post a Comment