Lengo la mawasiliano haya ni kupata orodha na samples ya kesi wateja wa Zantel wanazokabili. Pia itatowa fursa ya kuchemsha bongo pamoja na kuandaa mikakati ya kupeleka madai yao kunakohusika.
Shime kila aliyekumbwa na kadhia ya Zantel asikae kimya, itumiwe nafasi hii kuonyesha mapungufu wa makampuni kama haya kujilimbikiazia faida kupitia mgongo wa wananchi wanyonge.
Wasiliana na Bw Ahmed 0779 790 750
0 comments:
Post a Comment