Imeripotiwa
watu 55 waliokuwa ndani ya basi la kampuni ya Hood wakisafiri kutoka
Mbeya kwenda Arusha wamenusurika kufa baada ya basi hilo kushika moto na
kuteketea kabisa katika kijiji cha Kilolele, Chalinze mkoani Pwani.
Katika ajali hiyo abiria 40 walijeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za
miili yao na kukimbizwa katika Hospitali ya mkoa ya Morogoro kwa
matibabu
crdeit, millardayo
0 comments:
Post a Comment