watuhumiwa katika picha |
Mwanamke huyo amefungwa kifungo cha maisha jela kwa kile kinachoaminika alidhamiria kumtoa sadaka mtoto kwa kumkabidhi mikononi mwa mmbakaji maarufu jijini cardiff
Claire Semmens mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa United Kingdom, alikuwa amekaa na mtoto baadae akamruhusu kwenda kulala na mtu mmoja anayefahamika kama mbakaji maarufu
bwana huyo alimpa pombe mtoto huyo mwenye umri wa miaka 6 kisha kumbaka, kijana huyo ametiwa mbaroni na kuhukumiwa kifungo cha miaka 16 jela

plisi mjini hapo wanasema chumbani alimofanya unyama huo walikuta video aliyojirekodi wakati akifanya uchafu huo
0 comments:
Post a Comment