pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Anyolewa nywele za kwapani mbele ya darasa


Katika hali ya kushangaza mwalimu bila aibu ammemnyoa kikwapa mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 14 mbele ya darasa lake,
tukio hilo limetokea baada ya mwalimu kumuamuru mwanafunzi huyo kunyoa nywele hizo na kukaidi amri ya mwalimu 
Melissa Woods,mzazi wa mwanafunzi amemtuhumu mwalimu kuwa na tabia za kichawi kwa kumnyoa mwanae nywele za kwapa mbele ya wenzake
lakini mwalimu huyo amejibu na kusema kuwa hio ni moja ya ilani ya kazi yao katika kuhakikisha wasichana wanakuwa wasafi mashuleni

mama huyo anadai mwanae alilazimishwa kunyoa japo kitendo hiko kimeonekana ni cha kuchawi na unyanyasaji

0 comments:

Post a Comment