Katika hali ya kushangaza usiku wa leo maduka yaliyopo eneo la DDC kariakoo yalianza kuwaka moto mkubwa ambapo chanzo chake hakikufahamika mara moja, moto huo ulianza kuonekana pale watu wanaolala nje ya eneo hilo {mateja} na walinzi kuanza kukimbia ovyo
0 comments:
Post a Comment