Mwanajeshi
mmoja ameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa nje na ndani ya Bunge la
Canada mjini Ottawa katika tukio linalodhaniwa kuwa la kigaidi,ambapo
mji huo mkuu upo chini ya ulinzi mkali wa Polisi na wanajeshi.
Kufuatia
tukio hilo waziri mkuu wa nchi hiyo Stephen Harper amehutubia Taifa
hilo na kutaka wananchi watulie huku akisisitiza kuwa Canada
haitowaachia magaidi watambe.
Shambulio limekuja saa kadhaa baada ya Canada kukemea vikali vitendo vya kigaidi.siku ya jumatatu.
Vyombo
vya usalama nchini humo vimethibitisha kuwa mshambuliaji mmoja ameuawa
na ametambuliwa kwa jina la Michael Zehaf-Bibeau. Kufuatia tukio hilo
waziri mkuu wa nchi hiyo Stephen Harper amehutubia Taifa hilo na kutaka
wananchi watulie huku akisisitiza kuwa Canada haitowaachia magaidi
watambe.
Shambulio limekuja saa kadhaa baada ya Canada kukemea
vikali vitendo vya kigaidi.siku ya jumatatu mwanajeshi mwingine aliuawa
katika shambulio la kushtukiza .
0 comments:
Post a Comment