National Aeronautics and Space Administration (NASA) Ni taasisi iliyopo nchini marekani inayofanya kazi ya kutabiri mambo ya anga na kufanya utafiti juu ya syari kwa kutuma roketi zake na vifaa vingine katika anga za juu, pia ni wataalamu wa kutuma vifaa mwezini.
Taasisi hii imedhibitisha kuwepo kwa giza dunia nzima ndani ya siku 6 ifikapo december mwaka huu, giza hili lotaanza jumanne ya tarehe 16 mpaka jumatau ya tarehe 22 '
Kwa mujibu wa taasisi hii hali hii itasababishwa na Mtikisiko wa jua (Solar storm) ambayo itasababisha vumbi kali na mabonge ya utando mweusi ambayo italiziba jua kwa asilimia 90
0 comments:
Post a Comment