pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

AJALI ILIYOTOKE UBUNGO JANA

ajali mbaya ilitokea mida ya saa nne jana hapa ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. ajari ikihusisha magari 6 likiwemo uda. mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha. 


Displaying photo.JPG

Displaying image.jpeg
basi aina ya uda  miongoni mwa mabasi yaliyopata ajali

0 comments:

Post a Comment