pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

SITA WAPOTEZA MAISHA KATIKA MLIPUKO KENYA

 
Watu sita wameuawa jioni ya leo kufuatia mlipuko uliotokea Eastleigh huko Nairobi. Mlipuko huo ulitokea majira ya saa 7.30 jioni 
polisi nchini humo wamezuia eneo lilikotokea ajali kwa usalama zaidi
chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika
Majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika hospitali mbalimbali nchini Kenya  ikiwemo Kenyatta National Hospital, Guru Nanak hospital na Mother and Child Hospital huko Eastleigh.

0 comments:

Post a Comment