pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Ajali: Hizi ndo picha zinazoonyesha Helikopta waliyopata nayo ajali Makamu wa Rais na mkuu wa mkoa DSM

Viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Gharib Bilal, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick na kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova walianguka na Helikopta hii asubuhi ya April 13 2014 kwenye uwanja wa ndege Dar.
Hitilafu ilisababisha helikopta kuanguka wakati ikipaa kuwapeleka kwenye maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mvua zinazoendelea kunyesha ambapo hata hivyo walinusurika kifo isipokua majeraha madogomadogo tu.
Screen Shot 2014-04-13 at 1.55.22 PM
Screen Shot 2014-04-13 at 1.55.45 PM
Screen Shot 2014-04-13 at 1.55.53 PM

0 comments:

Post a Comment