Bodi
ya Filamu Tanzania hatimaye imetoa kibali rasmi kwa ile Movie kali Ya
TOM BOY,Kabla ya kuachiwa Movie hii kulikuwa na maneno kwamba haiko sawa
kwa maadili ya Kitanzania,Lakini bodi ya filamu Tanzania wameipita kwa
kina na umakini mkubwa na hatimaye kuibariki ili iweze kutoka na
kuuzwa.Bodi ya filamu imesema kwamba movie hiyo ipo kwenye maadili na
pia maudhui yake ni uhalisia kabisa ambao unatokea kwenye jamii
zetu.Akiongea na mtandao wetu huu wa Dj Sek Mtunisy amesema kwamba
anawashuru bodi ya filamu Tanzania kwa kuweza kuipitia na kuichambua
filamu hiyo na hatimaye kuweza kuiba kibali kwa kuwa ina elimisha na
kufundisha Jamii.
0 comments:
Post a Comment