pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Mabaki ya silaha zilizotumika katika vita ya pili ya Dunia [ WWII]

Zifuatazo hizi ni picha za kumbukumbu ya vita ya pili ya Dunia, picha hizi zimechukuliwa katika misitu ya Urusi. vitu vilivyopatikana ni miongoni mwa mabomu, risasi, kofia za jeshi, makombora, gruneti, vyote hivi vikiwa vimenasa katika miti tofauti tofauti msituni hapo, zifuatazo ni picha za mabaki hayo kwa majina..
1. Mannlicher Carcano rifle circa 1891
2. Maxim gun
3. Grenade
4. Helmets
5. 75 milimeter shell
6. Shovel

0 comments:

Post a Comment