pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Picha 11 za maonesho ya jeshi (JWTZ) zilizozua gumzo nchini

8
moja katika vitu ambavyo vilikuwa kivutio katika maadhimisho ya miaka 50 yamuungano ni maonesho ya nguvu ya kijeshi kutoka jeshi la wanachi wa Tanzania JWTZ, kiujumla watnzania wengi tulikuwa hatujui ni jinsi gani jeshi letu lilivyo kamilika katika kuhakikisha mtanzania wa aina yeyote yupo salama, 
ni nguvu ya kijeshi pekee ambayo imaweza kuimarisha nchi  na ikafanya mambo yake katika hali ya usalama, maonesho hayo yalihusisha vikosi vya Anga, Maji, na vile vya ardhini huku wapanda miavuli wakiacha burudani ya aina yake, huu ni mkusanyo wa picha zilizoacha watu wengi vinywa wazi kutokana na ukweli kwamba vifaa vya kijeshi tulivyozoea kuviona katiaka televisheni vilikuwa laivu kwenye macho yetu,
Picha kwa hisani ya milardayo
12
10
9
7
2
3
4
5
6
1

1 comments:

  1. Anonymous11:25 PM

    Ni noma sana, tutapiga malawi wakisogea mpaka kero

    ReplyDelete