Tokea Nicki Minaj aanze kujulikana kwenye tasnia hii ya muziki , ni wazi kujua kwamba ana mtindo wa kufanya plastic surgery kwenye mwili wake kama hauamini jaribu ku-google picha zake za zamani. Taarifa ni kwamba Nicki Minaj
anasumbuliwa na maumivu kwenye tako lake baada ya tako hilo kuhama
upande wakati akiperform kwenye Fashion Rocks siku ya jumanne usiku.
Mtandao wa MediaTakeOut umeripoti..
Taarifa zinasema Minaj alijiumiza
wakati akijaribu kujibinua. Watu walisikia kelele kwa wakati huo na
wengi wao walidhani limepasuka sababu tako hilo ni feki.
Ukiangalia hii picha ya juu unagundua upande wake wa kulia tako lake halijakaa vizuri. Je, Unaongelleaje hili swala la plastic Surgery?!Cheki video ya show yake hapa chini...!
Ukiangalia hii picha ya juu unagundua upande wake wa kulia tako lake halijakaa vizuri. Je, Unaongelleaje hili swala la plastic Surgery?!Cheki video ya show yake hapa chini...!
0 comments:
Post a Comment