pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Hawa ndo Samaki 5 wakubwa zaidi Duniani kuvuliwa kwenye mito

 Alligator Gar


 
samai huyu wa ajabu na mkubwa alikamatwa kusini mashariki mwa nchi ya Marekani, samaki huyu alikamatwa katika michezo ya kukamata samaki kwenye mto mmoja huko Texas
samaki huyo aliuzwa paundi 230

 Mekong Giant “Grizzly Bear” Catfish


 mwezi wa 5 tarehe 1, 2005 mvuvi mmoja kusin mwa Thailand alifanikiwa kumvua samaki mmoja mwenye ukubwa na urefu wa futi 9  na kumuuza kwa paundi 646


 Giant Tigerfish



 
giant tigerfish ni anina ya samaki aliyekutwa mtoni Afrika ya kati na akatokea kuwa samaki maarufu kwa ukubwa kuliko samaki wote waliowahi kuvuliwa afrika nzima kutokea katika mto. samaki huyo alitisha kwa meno yake yaliyokaa kama msumeno, samaki huyo alikamatwa mwezi wa 9 mwaka 1998 na kuuzwa ka jumla ya paundi 97

 Largemouth Bass

8. Giant Trevally


 
Caranx ignoblis

0 comments:

Post a Comment