pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI(NIT) NA MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA KUANZISHWA KWAKE

Chuo cha taifa cha Usafirishaji kiko katika wiki uhimu ya maadhimisho ya Miak 40 ya kuanzishwa kwake, tangu kilipoanzishwa mwaka 1975 hadi leo mwaka 2015
katika maadhimisho hayo shughuli nyingi za kisomi na za kikumbukumbu zitafanyika huku nyngine nyingi yakiwemo maandamano yakianza jana, maandamano hayo yalianzia barabara ya shekilango hadi maeneo ya chuo yakiongozwa na mgeni rasmi.
MOJA YA MAONESHO YA ZANA ZA KISASA
image.jpeg 
Moja ya wanafunzi wa chuo hiko akijaribu zana ya kisasa (Simulator)
image.jpeg
Mwanafunzi huyo (Ipyana mwajilala) akitoa maelekezo ya zana hiyo kwa wageni waalikwa
image.jpeg 
Hapa akifurahia utendaji kazi wa kifaa hicho mbele ya wageni waliohudhuria maadhimisho hayo

SHEREHE HIZO ZITAGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI MATATU MUHIMU YATAKAYO DUMU KWA SIKU 6

1. 40 Years Opening Ceremony
2. 40 Years Conference 
3. Convocation  
4. Graduation Ceremony 
5. Gala Dinner Night 

0 comments:

Post a Comment