Miaka mia moja iliyopita, kilikuwa chombo kilichokuwa kinatisha na kutawala katika Ziwa Tanganyika.
Hii leo, chombo hiki ni moja ya meli za zamani kabisa duniani zinazobeba abiria. Chombo hicho, kilichopewa jina la The Goetzen, kilipelekwa Afrika
Mashariki, kusaidia kulinda koloni la Ujerumani wakati huo, dhidi ya
majeshi ya ushirika, wakati wa Vita kuu ya kwanza ya dunia. Katika mfululizo wa makala za vita vya dunia, mwandishi wetu Zuhura Yunus amekwenda Tanzania na kuipanda meli hiyo.
0 comments:
Post a Comment