pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

SHUHUDIA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2014

 Mkoa wa Dar Es Salaam umeongoza kwenye mitihani ya drs la 7 ....( ILA SHULE ILIOONGOZA NI TWIBOKI S/M kutoka MKOA WA MARA)

Kiwango cha ufaulu chaongeza...mwaka huu ni 56.99 % ..mwaka jana ilkua 50.61% ...

Masomo yalioongoza kwa ufaulu n KINGEREZA NA KISWAHILI...

Ufaulu wa Hisabati waendelea kuzorota...

Serikali ina adhima kubwa la kukuza ya ufaulu wa Masomo ya hisabati baada ya kuanzisha KITENGO MAALUMU CHA WAALIMU WA MASOMO YA SAYANSI ktk chuo kikuu cha Dodoma...( College of Humanities and Social Sciences) ukiwa n mpango endelevu unaofadhiriwa na BANK KUU YA DUNIA.


0 comments:

Post a Comment