![]() |
Mtu mmoja ametiwa mbaroni na polisi baada ya kuonekana barabarani akicheza huku akiwa uchi, mtu huyo alimg'ata polisi pindi alipotaka kumkamata na kumtoa barabarani hapo palipokuwa na msongamano mkubwa wa magari
Polisi mjini San Diego walisema kuwa walipokea simu iliyowajulisha uwepo wa mtu huyo barabarani hapo kutoka kwa raia wema asubuhi ya jumamosi
Tukio hilo lilitokea katika eneo la Sherman Heights majira ya saa 4:30 asubuhi
maafisa wa polisi eneo hilo walifanya juhudi za kumfukuza mtu huyo japo walipata shida ya kumkamata kutokana na vitendo vyake vya kung'ata, kwani alimuumiza polisi mmoja mguuni
polisi aliyeng'atwa na mtu huyo aliyekuwa uchi wote walipatwa na majeraha kutokana na rabsha walizo pata katika kukimbizana na wote walipelekwa hospitali
polisi aliyeng'atwa na mtu huyo aliyekuwa uchi wote walipatwa na majeraha kutokana na rabsha walizo pata katika kukimbizana na wote walipelekwa hospitali
Tazama video hiyo hapa
0 comments:
Post a Comment