MRENGO wa vijana kutoka chama tawala cha Afrika Kusini-ANC- Youth League umesema unapanga kufanya sherehe ya tohara ya kitamaduni kwenye milima maalum iliyopo nchini humo.
Shirika la Turathi la Umoja wa Mataifa-UNESCO- limetangaza eneo hilo la “Table Mountains” kuwa turathi kwa sababu kuna mimea ya kipekee zaidi ya aina elfu tano.
Taarifa ya vijana hao wa -ANC- katika jimbo la
Western Cape imesema hakuna ardhi ya kufanyiwa tohara ya utamaduni
ingawa bado haijabainika ikiwa watapata idhini ya kuendesha shughuli
hiyo.
Vijana wanaotahiriwa
0 comments:
Post a Comment