pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Majambazi waliohusika Mauaji Mbande Mabaroni

Pichani ni Nyumba inayosadikika kuhifadhi wahalifu
Watu saba wakiwemo watoto watatu wamekamatwa na polisi katika nyumba eneo la Vikindu Mashariki, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani wakati polisi wakiendelea na oparesheni kufuatia mauaji ya askari polisi wanne eneo la Mbande wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam.
Ripoti kutoka eneo la tukio zinasema askari bado ni wengi katika eneo la tukio wakiweka doria huku wananchi wakiwa wamesimama umbali wa takriban meta 50.
Kwa mujibu wa habari hizi milio ya risasi ilianza kusikika tangu Saa 8:20 usiku hadi saa 2 asubuhi.

0 comments:

Post a Comment