pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Mwanamke amuua daktari kisa kumchungulia akijifungua

SAUDI ARABIA: Mwanamume mmoja akamatwa na Polisi kwa kumpiga risasi mwanaume mtaalamu wa afya ya uzazi aliyemsaidia mkewe kujifungua, akisema ni haramu kwa mwanamume kuona uchi wa mkewe.
Inasemekana kuwa mtuhumiwa alikasirishwa na wasimamizi wa hospitali waliomruhusu daktari Muhannad al Zabn kumsaidia mkewe kujifungua.

0 comments:

Post a Comment