Mchezo
wa Manchester City dhidi ya Sunderland uliokuwa uchezwe katika dimba la
Etihad Stadium umeghairishwa kutoka na hali mbaya ya hewa.
Polisi
wa jijini Manchester wamethibitisha habari hiyo saa moja kabla ya
kuanza kwa mchezo huo huku kukiwa na upepo mkali ambao umeufanya mchezo
huo kughairishwa na kutokana masuala ya usalama.
Nahodha wa City
Kompany aliandika kwenye Twitter: "Mchezo umeigharishwa. Hakikisha
unarudi nyumbani salama, hali ya hewa sio nzuri."
credit, magazetini
0 comments:
Post a Comment