WANANCHI wakiangalia gari yenye usajili Z 564
DE, ikiwa imegongwa kwa nyuma na daladala ya njia ya Maungani yenye namba za
usajili Z663 CH, ajali hiyo imetokea jirani na maskani ya kisonge, katika ajali
hiyo hakuna Mwananchi aliyejeruhiwa katika ajali hiyo.
Dereva wa Texi na wa Daladala wakiwa katika mashauriano ya kulipwa
mwenye texi ikizingatiwa daladala ndio mkosa katika ajali hiyo kwa
kugonga kwa nyumba ikiwa gari iko mbele yake akiiona, huu ni uzembe wa
maderevya. kushughulikia mambo mengine akiwa katika usukani.
zanzinews
0 comments:
Post a Comment