Nembo ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania iliozindulia na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,
sambamba na Uzinduzi wa sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapnduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein, akiponyeza kitufe kuashiria kuizinduwa Nembo ya Miaka 50 ya
Muungano, katika ukumbi wa Salama Bwawani, kulia Makamo wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na kushoto Makamo wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, wakishuhudia uzinduzi huo.
Viongozi wa Meza Kuu wakiwa katika hafla hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. AliMohamed
Shein, akihutubia mkutano huo wa Uzinduzi wa Nembo ya Miaka 50 ya
Muungano katika ukumbi wa hotele ya Bwawani.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza
katika hafla hiyo ya Uzinduzi wa sherehe za Muungano na Nembo ya Miaka
50 ya Muungano wa Tanzania.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed
Aboud, akitowa maelezo ya hafla hii ya Uzinduzi katika ukumbi wa Salama
Bwawani Zanzibar.
Wananchi waliohudhuria hafla hiyo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dkt Shein akihutubia
0 comments:
Post a Comment