
"Tumewakamata Watanzania wanne
leo (jana) JKIA. Tumewaweka chini ya uangalizi na tayari wameshatoa
vidonge 186 ambavyo tumevifanyia uchunguzi na kudhibitisha kuwa ni
heroin," Ngisa aliliambia Shirika la Habari la Uchina kwa simu.
Ameongeza kuwa watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani jan Ijumaa.
na mdodosoaji
Dj sek Blog
0 comments:
Post a Comment