Matokeo:
Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,
Ilikuwa hivi:_
1.Ridhiwani Kikwete kura 758
2.Shaban Iman Madega kura 335
3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206
4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12
Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316
Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,
Ilikuwa hivi:_
1.Ridhiwani Kikwete kura 758
2.Shaban Iman Madega kura 335
3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206
4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12
Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316
Wagombea wa Ubunge Chalinze kwa tiketi ya ccm walikuwa ni:-
1.Ndg.Ridhiwani Kikwete,
2.Shaban Iman Madega,
3.Athuman Ramadhan Maneno
4.Changwa Mohamed mkwazu
2.Shaban Iman Madega,
3.Athuman Ramadhan Maneno
4.Changwa Mohamed mkwazu
Tarehe 9/3/2014 KUCHUKUA FOMU
Tarehe 11/3/2014 KURUDISHATarehe 15/3/2014UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CC
Kwa hisani ya http://www.jamiiforums.com
Wanachama wa CCM wakiwa katika viwanja vya kupigia Kura yaMaoni
kumchagua Mgombea kupitia Chama cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mdogo wa
Jimbo la Chalinze baada ya Mbunge wake Kufariki dunia na nafasi hiyo
kuwa wazi
Wakiwa katika mstari kusubiri nafasi zao ili kupiga kura ya Maoni.
Wanachama wa CCM wakiwa katika foleni ya kupiga kura ya Maoni kumchagua
Mgombea wa Ubunge kupitia CCM,ili kujaza nafasi iliokuwa wazi baada ya
mbunge wake kufariki dunia.
Ndg.Ridhiwani Kikwete Mgombea
wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akijipigia Kura
muda huu , pia akipanga mstari katika uwakilishi wa Kata anayotoka ya
Msoga..Zoezi la upigaji kura linaendelea hapa Msata (Chalinze).
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi akipiga kura yaku kutumia Demokrasia
yake kumchagua Mtu amtyakaye.(Picha kwa hisani ya Jamii Forams.com
0 comments:
Post a Comment