Bunge maalum linaloendelea dodoma linaweza kujikuta likiisha kwa kuigawa nchi yetu vipande vipade kutokana na misimamo ya baadhi ya wajumbe wake, leo tumeshuhudia bunge likiahirishwa baada ya mjumbe kutoka zanzibar akimtolea uvivu sindeka na mwenyekiti wa muda aye akiungana na mwenzake wa zanz, hivyo imeonekana dhahiri wabunge wote wa zanzibar wakiungana na wabunge wote wa upinzani na wale wa ccm bara wakibakia peke yao na msimamo wa chama chao, kazi ipo uwezekano wa kupata katiba mpya kwa kutumia msimamo wa ccm imekua ni vigum sanaaa, cha zaidi makundi yote hayaungi mkono msimamo wa ccm.
0 comments:
Post a Comment