pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

SHUHUDIA MAJINA YA AJIRA MPYA ZA WALIMU [SECOND BATCH] NA UHAMISHO WA WALIMU WALIOOMBA KUBADILISHIWA VITUO MWAKA 2013/2014

Katika kuhakikisha kila mwanafunzi aliyemaliza chuo anapata haki yake ya kupangiwa kituo kwa upande wa walimu serikali imetoa majina mapya ya ajira hizo kwa wale ambao hawakupata mwanzo pia na wale ambao wamebadilishiwa vituo kwa mwaka 2013/2014
 
bofya hapa chini kusoma tangazo linalohusu ajira za walimu kwa mwaka wa 2014

Hii ndo orodha ya walimu wapya kutoka chuo cha SJUT ambazo hazikutoka mwanzo, bofya hapa chini kusoma na kudownload majina ya walimu 
BOFYA HAPO CHINI KUSOMA MAJINA HAYO
 

Haya ndo majina ya walimu wa shahada waliokubaliwa kuhamishwa vituo katika ajira zilizotoka 2013/2014
BOFYA HAPO CHINI KUSOMA MAJINA HAYO
 

Haya ndo majina ya stashahada kwa walimu waliobadilishwa vituomwaka 2013/2014
BOFYA HAPA CHINI KUSOMA MAJINA HAYO
 

0 comments:

Post a Comment