pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Akuta "CONDOM" kwenye chakula, mwenye mgahawa aimeza fasta kuzima soo

condom kwenye sahani
Mwanamke mmoja amekerwa na kitendo cha kukuta condom kwenye chakula chake pale alipo kuwa akila kwenye mgahawa
Mai Liang alikuwa akila samaki wake na viringiti za vaizi ndipo ktika hali isiyo ya kawaida akakutana na kitu kigumu
 
kitu kigumu hiko kilikuwa condom iliyotumika
 
Mama huyo alipomuonesha condom hiyo mmiliki wa mgahawa huo alipatwa na bumbuwazi na kwiki ya ghafla. Mmiliki wa mgahawa huo Yi Ze Teng, aliitoa haraka condom ile na kuimeza ili kuua soo
bwana huyo amewalaumu wapishi kutokuwa makini na kile wanachokifanya

kiuzoefu, bwana huyo anasema aliamua kuitafuna condom hiyo ili kuzima maneno kutoka kwa wateja waliokuwepo mahali hapo, kwani alijiua ingekuwa hatari sana kutoka kwa watu wenye hasira kali

0 comments:

Post a Comment