pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Aliye jiita MUNGU, abomoa na kuingiza gari kituo cha Televisheni

Vladimir Baptiste 
Mwanaume mmoja aliyedai kuwa yeye ni mungu, katika hali ya kushangaza ameliingiza gari lake katika kituo cha redio huku akisema, "Mimi ni Mungu, Mimi ni Mungu" Polisi kakitka mjia wa Maryland wamesema

Polisi wamekiri kumkamata mtuhumiwa jioni ya Alhamisi ndani mwa kituo cha televisheni, Mtuhumiwa huyo hakujeruhiwa wala waliokuwemo kituoni hapo hawakupata majeraha yoyote
 
Polisi wamegundua kuwa jamaa huyo alikuwa ana upungufu wa akili katika utimamu wake, Zogo hilo lilianza pale jamaa mmoja aliekuwa akiendesha Lori kuingia ndani ya kituo cha televisheni huku akiacha tobo kubwa sana ukutani, na akiita kwa sauti ya juu kuwa yeye alikuwa ndiye mungu
tukio hilo lilitokea mida ya saa 11:45 a.m., na jamaa akidai kuwa yeye ni Mungu lakini wafanya kazi wote walikimbia kujinusuru na kumuacha kituoni hapo
baadae polisi walimkamata Vladimir Baptiste mwenye miaka 28, baada ya kuwa amekaa kituoni humo zaidi ya masaa 5
jamaa huyo anatuhumiwa kwa kosa la uvunjifu wa amani na mali, pia kosa la mauaji kwani angeweza kuwaua wafanyakazi, hivyo akitoka hospitali anapitia rumande ambapo dhamana yake imetajwa kuwa 123,750,000/= hela za kitanzania

0 comments:

Post a Comment