Huenda ikawa mara yako ya kwanza kuona kitu kama hiki au kusikia maishani mwako, na huenda ikawa vigumu sana kuamini ukweli wake, hii ni sababu ya historia zilizopotosha baadhi ya ukweli wa mambo,
Kusini mwa Ireland kuna barabara moja ambayo imejengwa juu ya bahari kwa kutumia mawe tu, barabara hii inasadikika kujengwa na moja ya jitu la kale liloishi enzi hizo miaka milioni 60 iliyopita nchini humo kwa kazi zake binafsi, jitu hilo lilipta sana tabu ya kuvuka bahari katika kuendelea na shughuli zake, kutokana na hilo ndipo liliamua kujenga barabara yake kwa ufundi wa kutumia mawe ili kuvuka bahari hiyo kirahisi,
katika ustadi wa hali ya juu jitu hilo liliweza kupanga mawe sambamba na njia ya kuvuka bahari hiyo ambapo inasemekana jitu hilo lilikuwa na nguvu nyingi sana na lilikuwa na umbile la ajabu kuliko kawaida
watu wengi duniani hasa watalii kutoka nchi mbalimbali wamekuwa wakitembelea eneo hilo kama kivutio na sehemu ya kushuhudia maajabu, ambapo viongozi wengi maarufu waendapo nchini humo lazima wapitie eneo hilo, wengi wa tu wamekuwa wakiamini ya kwamba eneo lile ni matokeo ya volcano iliyotokea zamani miaka milioni 60 iliyopita lakini ukweli unabaki pale kwamba pale pametengenezwa na jitu la kale lilioishi maeneo yale
0 comments:
Post a Comment