pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Mbaroni baada ya kunywa mkojo wake mgahawani mbele ya wateja wenzie

mfano wa mtu akinywa mkojo
Katika sintofahamu mgahawani, watu wameshangaa baada ya kuona mtu mmoja akinywa mkojo wake mgahawani, watu hao waliita polisi kwani kitendo hicho hakikuwa cha kawaida kabisa kukiona
 
 
  Ryan Bravo mwenye miaka 26 mkazi wa Washington, aliambiwa atoke nje ya mgahwabaada ya watu kugundua kuwa alikuwa akinywa mkojo wake mwenyewe na si kinywaji kingine kama walivyofanya wenzie

mashuhuda wamewaambia polisi kuwa Bravo alisimama na kufungua zipu ya suruali lake akakojoa kwenye glasi kisha akaanza kunywa mkojo huo

polisi walimkamata mtu huyo na kumpeleka rumande, Bravo amehukumiwa habu nyingine aliyopewa haruhusiwa kuingia mgawakwa kosa la kukojoa mbele za watu, na si kosa la kunywa mkojo ambapo hadi sasa yupo jela, pia adhabu nyingine aliyopewa ni kutoingia mgahawa wowote kwa kipindi cha miaka 5
baadhi ya wakazi wa eneo hilo wanasema hata kama jamaa huyo amekamatwa na kupewa adhabu lakini anahitaji vipimoo vya akili kwani kitendo alichofanya si cha kawaida kwa binadamu aliye timamu

0 comments:

Post a Comment