pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Hizi ndo aina 10 za paka hatari duniani walioishi miaka 1000 iliyopita

kabla mwanadamu hajaanza shughuli za uwindaji , wanyama jamii ya paka ndio waliokuwa wakubwa na wenye nguvu kuliko wengine wote duniani, hat leo hii wanyama hao bado wanazidi kuwa tishio mfano wa chui, na wengineo
hapa katika makala hii nimeamua kukuletea wanyama 10 jamii ya paka walioishi miaka zaidi ya 1000 iliyopita na wenhine miongoni mwao wakiendelea kuishi hadi leo hii,,,,,,,,,,,
10
Giant Cheetah (Duma wakubwa)

Pardinensis
Duma  wakubwa waliishi miaka mingi iliyopita kabla ya shughuli za mwanadamu, na fisi hawa walikuwa wakubwa sana kiasi cha kumzidi simba wa leo, duma hawa jamii yao inafanan kabisa na jamii ya duma wa leo
fisi hwa walikuwa na kilo 120-150  (265-331lbs), waliitwa simba awkubwa wa Africa enzi hizo
Duma hawa walisemekana kukimbia kuliko mnyama yeyote leo hii, japo nimepitia baadhi ya mitanda kuna wanaosema duma wa leo anawezakumzidi duma wa kipindi kile mbio
9
Xenosmilus
Screen Shot 2010-12-02 At 11.12.11 Am
Huyu ni mnyama jamii ya tiger, moja ya mnyama aliyeishi miaka mingi iliyopita na akasemekana kuwamwenye nguvu nyingi za shingo
alikuwa ni jamii ya paka mkubwa sana mwenye uzito kati ya kilo 180-230  (397-507lbs),
8
Giant Jaguar
Jaguar Augusta
alikuwa ni mnyama mkubwa sana mwenye kadiri ya kilo 60-100 (132-220lbs), na mkubwa sana alikuwa ni jike aliyepatikana america akiwa na uzito wa kilo 150 kgs (330lbs),
7
European jaguar
76702014
huyu ni tofauti na jaguar aliyepita kwani walitofautiana kila kitu na likuwa katika jamii nyingine ya mapaka, mnyama huyu ndo alikuwa akipatikana katika misitu ya spain na nerthelands .
6
Cave lion
Cave-Lion
huyu ni simba mkubwa aliyeishi mapangoni enzi hizo  akiwa na uzito wa kilo300 kgs (661lbs) 
simba huyu aliishi pangoni tu na alikuwa akipata chakula chake huko huko mafichoni mwake 
5
Homotherium
Homotherium
huyu tofauti na wanyama wengine mwenyewe aliishi miaka zaidi ya 10000 iliypoita kaiwa katka jamii ya hao hao mapaka, alikuwa ni mkubwa na mwenye uzito wa kilo 400
4
Machairodus kabir
Very  Very Big Cat By Hodarinundu-D332Oxj
achilia mbali wanyama wa leo wanaodaiwa kuwa na hasira, mnyama huyu alikuwa hatari zaidi ya maelezo kwani aliweza kumeza wanyama wenzie hata bila sababu
ni moja katika ya wanyama waliokuwa na nguvu sana kipindi hiko akiwa na zaidi ya kilo 500
aliweza kuwatafuna wazima wazima wanyama wote wadogo wadogo bila hata huruma pia alikuwa mgomvi sana kwa kila aina ya mnyama
3
American lion
Page18A
tofauti na simba wengine wa eo huyu ni simba aliyekuwa na takriban uzito wa kilo 600 na liishi miaka mingi iliypoita yapata 11000, simba huyu alikuwa mpole kiasi cha kuishi bila kuchokoza yeyote isipokuwa tu anapokuwa na njaa
2
Pleistocene tiger
Img 0023
mnyama huyu anaendelea kuishi leo hii lakini akiwa umbo dogo kuliko aliyekuwepo, tiger wa kipindi kile alikuwa mzuri sana kwa mwili wake wenye maua mazuri pia alikuwa na uzito wa kilo 600
1
Smilodon
Smilodonsabretoothcat
huyu ndo mnyama namba moja miongoni mwa wanyama waliozua gumzo kipindi hiko akiwa mgomvi kupita maelezo pia akiwa ndo mnyama pekee aliyeweza kuishi bila kula kwa kipindi cha siku 23
wanyama hwa walikuwa wakubwa sana kiasi cha kufikisha kilogram 750 lakini wakiwa wameshiba na shingo nene
wanyama hawa kizazi chao kiliisha baada ya wenyewe kwa wenyewe wamekulana na kuisha, ni miongoni wa wanyama ambao wenyewe walitafunana

kwa msaada wa mtandao 
una habari??? itume kupitia whats App number +255658418149 or email hilyaone@gmail.com

0 comments:

Post a Comment