Katika kile kilichoonekana watu wa nchini Kenya kutomkubali Aliyechukua nafasi ya umiss jirani mwa nchi yao Uganda, waganda wamejibu kwa kusema Miss Uganda ni bora na kutokana na vigezo walivyotumia wao huwez kumlinganisha na miss Kenya.
"Miss Uganda ni kama gari la kijerumani, linafanya kazi nyingi na linakubalika, lina uwezo mkubwa japo halijapambwa kama yale ya kichina" walisema! Kauli hii inaonesha wazi kuwa Miss Kenya kafanywa gari la kichina
0 comments:
Post a Comment