Katika hali ya kutambua mchango wake katika jamii msanii huyu atatunukiwa shahada hiyo siku ya mahafali ya chuo kikuu cha DAR ES SALAAM yatakayo fanyika mapema mwezi November
Diamond atatunukiwa tuzo hio kutokana na mchango wake mkubwa katika jamii. Sambamba na msanii huyo mwingine atakaye tunukiwa tuzo kama hio ni aliyekuwa mkuu wa chuo hiko marehemu Flugence kazaura
0 comments:
Post a Comment